Praia (Cabo Verde)
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jiji la Praia | |
| Nchi | Cabo Verde |
|---|---|
Praia ni mji mkuu wa jamhuri ya Cabo Verde iko kisiwani Santiago.
Praia ina wakazi mnamo 70,000 ni mji mkubwa kabisa pamoja na kuwa kitovu cha kiuchumi cha nchi.
Biasharanje inapita katika bandari ya Praia ni hasa kahawa, miwa na matunda. Kuna uwanja wa ndege wa kimataifa.