Porto Alegre
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Rio Grande do Sul | |
| Porto Alegre | |
| Anwani ya kijiografia: 30°01′59″S 51°13′48″W / 30.03306°S 51.23°W | |
| Nchi | Brazil |
|---|---|
| Kanda | South |
| Jimbo | Rio Grande do Sul |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 1,436,123 |
| Tovuti: www.portoalegre.rs.gov.br | |
Porto Alegre ni jina la mji mkuu wa jimbo la Rio Grande do Sul katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao milioni 4 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 10 kutoka juu ya usawa wa bahari.
[hariri] Viungo vya nje
- (Kireno) Tovuti rasmi
| Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Porto Alegre kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |