Portland, Oregon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jiji la Portland
Skyline ya Jiji la Portland
Nchi Marekani
Jimbo Oregon
Kitongoji Multnomah
Idadi ya wakazi
 - Mji 575,930

Portland ni mji wa Marekani katika jimbo la Oregon. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao milioni 2.2 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 15 kutoka juu ya usawa wa bahari.

[hariri] Viungo vya nje

Portland websites that are also wikis


Flag USA template.gif Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Portland, Oregon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.