Port Said
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Misri: Sehemu ya PortSaid (juu).
Port Said (Kiarabu بورسعيد, inatafsirika kama Būr Saʻīd) ni mji kutoka nchi ya Misri karibu kidogo na Mfereji wa Suez, ambao unakadiriwa kuwa na wakazi wapatao 500,000 waishio katika mji huo.
Mji wa Port Said, unasemekana kuwa una samaki wengi na viwanda. Viwanda vinavyopatikana huko ni pamoja na vya, kemiko, uzashaji wa vyakula, na sigara. Port Said pia ni bandari muhimu kwa kusafirishia bidhaa za Kimisri kama vile pamba na mchele. Pia kuna kituo cha kujazia mafuta kwa meri ambazo zinapita kuelekea Suez.
[hariri] Viungo vya nje
- PortSaid Free-zone Forums
- PortSaid-Online,Port Said's Largest Community - All about Port Said
- Satellite picture by Google Maps
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Port Said kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |