Polokwane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jiji la Polokwane
Skyline ya Jiji la Polokwane
Jiji la Polokwane is located in South Africa
Jiji la Polokwane
Jiji la Polokwane
Mahali pa mji wa Polokwane katika Afrika Kusini
Coordinates: 23°53′24″S 29°27′0″E / Expression error: Unexpected < operator Expression error: Unexpected < operator / Expression error: Unexpected < operator; Expression error: Unexpected < operator
Nchi Afrika Kusini
Majimbo Limpopo
Idadi ya wakazi
 - Mji 123,749
Website: www.polokwane.org.za

Polokwane (Kiafrikaans: Pietersburg) ni manisipaa ya Afrika Kusini na mji mkuu wa Jimbo la Limpopo. Mji una wakazi nusu milioni.

Yaliyomo

[hariri] Historia

Mji ulianzishwa mwaka 1886 na makaburu wa Voortrekker ukapewa jina la Pietersburgh kwa heshima ya jenerali ya makaburu Petrus Jacobus "Piet" Joubert. Wakati wa Vita ya pili ya Waingereza dhidi ya Makaburu Pietersburgh ikawa mji mkuu wa jamhuri ya Transvaal ikavamiwa na Waingereza mwaka 1901.

[hariri] Jiografia

Polokwane iko katika nyanda za juu kwa kimo cha mita 1,312. Hali ya hewa ni ya wastani yenye sentigredi 27°C wakati wa joto na 20 °C wakati wa baridi.

[hariri] Uchumi

Kuna migodi ya almasi na kiwanda cha kuchimbia mchanga safi sana inayofaa matumizi ya vioo. Pamoja na migodi kuna pia viwanda mbalimbali.

[hariri] Michezo

Polokwane itaona michezo ya mpira wakati wa kombe la dunia la 2010.

[hariri] Viungo vya Nje