Piteå
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Piteå ni mji na manispaa nchini Uswidi. Kuna wakazi 22,650 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1621 .
[hariri] Jiografia
Eneo lake ni 24.87 km². Iko kando ya Bahari ya Baltiki.
[hariri] Viungo vya nje
| Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Piteå kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |