Pierre-Gilles de Gennes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png
Pierre-Gilles de Gennes

Pierre-Gilles de Gennes (24 Oktoba, 193218 Mei, 2007) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa anajulikana kwa kuchunguza fuwele miminiko na sifa zake. Mwaka wa 1991 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Tuzo Nobel.png Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pierre-Gilles de Gennes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine