Faili:Rupie robo DOA 1913.JPG

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Faili halisi(piseli 1,059 × 1,077, saizi ya faili: 297 KB, aina ya MIME: image/jpeg)

Muhtasari[hariri | hariri chanzo]

Upande wa mbele wa sarafu za Rupie robo katika Afrika ya Mashariki ya Kijerumani. Picha ya kando ni majani ya mitende. Maandishi ni jina la koloni "Deutsch Ostafrika" na thamani ya sarufi "1/4 Rupie" (robo rupia) iliyokuwa sawa na Heller 25. "1913" ni mwaka wa kutolewa na herifi "J" inaonyesha ya kwamba imechongwa mjini Hamburg kwenye karahana ya serikali.

Nyuma yake inaonyesha picha ya Kaisari Wilhelm II sawa na sarufi za rupie 1.

Hatimiliki:[hariri | hariri chanzo]

Historia ya faili

Bonyeza tarehe/saa kuona faili kama ilivyoonekana wakati huo.

Tarehe/SaaPicha ndogoVipimoMtumiajiMaelezo
sasa hivi15:45, 24 Januari 2009Picha ndogo ya toleo la 15:45, 24 Januari 20091,059 × 1,077 (297 KB)Kipala (majadiliano | michango)Upande wa mbele wa sarafu za Rupie robo katika Afrika ya Mashariki ya Kijerumani. Picha ya kando ni majani ya mitende. Maandishi ni jina la koloni "Deutsch Ostafrika" na thamani ya sarufi "1/4 Rupie" (robo rupia) iliyokuwa sawa na Heller 25. "1913" ni mwa

Ukurasa huu umeunganishwa na faili hili:

Data juu