Phares Kashemeza Kabuye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Phares Kashemeza Kabuye (alifariki 24 Aprili, 2009 katika ajali la basi mkoani Morogoro) alikuwa Mbunge katika Bunge la Tanzania.

Chanzo[hariri | hariri chanzo]