Petr Čech
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
|
|
Makala hii au sehemu ya makala hii inatumia lugha inayohitaji masahihisho kwa upande wa moja ya yafutayo:
|
| Urefu | 1.96 m (6 ft 5 in) | ||
|---|---|---|---|
| Playing position | Goalkeeper | ||
| Club information | |||
| Current club | Chelsea Fc | ||
| Senior career* | |||
| Miaka | Timu | Apps† | (Gls)† |
| 1999-2001 | Chmel Blšany | 27 | (0) |
| 2001-2002 | Sparta Prague | 27 | (0) |
| 2002-2004 | Stade rennais | 70 | (0) |
| 2004- | Chelsea Fc | 222 | (0) |
| Timu ya Taifa ya Kandanda | |||
| 2002– | Ucheki | 79 | (0) |
| * Senior club appearances and goals counted for the domestic league only. † Appearances (Goals). |
|||
Petr Čech (amezaliwa 5 Mei, 1982 mjini Pilsen) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Ucheki, ambaye kwa sasa anaichezea klabu mashuhuri ya mpira wa miguu ya huko Uingereza, maarufu ya Chelsea F.C. na pia timu ya taifa ya Ucheki.
[hariri] Tuzo
[hariri] Chelsea F.C.
Mshindi
- FA Premier League: 2004-05,2005-2006,2009-2010
- Kombe la FA: 2007, 2009,2010
- FA Community Shield: 2005, 2009
- Football League Cup: 2005, 2007
| Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Petr Čech kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |