Peter Abrahams
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Peter Abrahams (amezaliwa 3 Machi 1919) alikuwa mwandishi kutoka Afrika Kusini. Alihama Afrika Kusini mwaka wa 1939, na tangu 1956 aliishi nchini Jamaika. Riwaya zake zahusu hasa vipengele mbalimbali vya ubaguzi wa rangi.
Riwaya zake [hariri]
- Mine boy (1946)
- The path of thunder (1948)
- Wild conquest (1950)
- Tell freedom (1954; tawasifu)
- A wreath for Udomo (1956)
- A night of their own (1965)
- This island now (1966)
Angalia pia [hariri]
Marejeo [hariri]
- (en) Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
- (de) Seiler-Dietrich, Almut. 1984. Die Literaturen Schwarzafrikas [Fasihi za Kiafrika]. ISBN 3-406-09499-6
| Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Peter Abrahams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |