Penny Johnson Jerald

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Penny Johnson Jerald

Penny mnamo 2012
Amezaliwa Penny Johnson Jerald
14 Machi 1961 (1961-03-14) (umri 63)
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1983–hadi leo
Ndoa Gralin Jerald (1982–hadi leo)

Penny Johnson Jerald (amezaliwa tar. 14 Machi 1961) ni mwigizaji wa filamu na vipindi vya televisheni kutoka nchini Marekani. Anafahamika sana kwa kucheza kama Beverly Barnes kutoka katika mfululizo wa vichekesho vya HBO vya The Larry Sanders Show, Kasidy Yates kutoka katika mfululizo wa uzushi wa kisayansi wa Star Trek: Deep Space Nine, na Sherry Palmer kutoka katika mfululizo wa televisheni ya FOX almaarufu kama 24.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Penny Johnson Jerald kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.