Penina Muhando
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Penina Muhando (amezaliwa 1948) ni mwandishi wa kike kutoka nchi ya Tanzania. Hasa ameandika tamthiliya. Baadhi yao ni:
- Hatia (1972)
- Tambueni Haki Zetu (1973)
- Heshima Yangu (1974)
- Pambo (1975)
- Lina Ubani (tamthiliya) (1984)
- Nguzo Mama (tamthiliya) (1984)
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Afrika bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Penina Muhando kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |