Paul Peter Kimiti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Paul Peter Kimiti (amezaliwa 15 Januari 1940) ni mbunge wa jimbo la Sumbawanga Mjini katika bunge la kitaifa nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. [Mengi kuhusu Paul Peter Kimiti. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 2011-11-03. Mengi kuhusu Paul Peter Kimiti]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]