Papa Zakarya
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Zakarya alikuwa papa kuanzia 10 Desemba, 741 hadi kifo chake tarehe 22 Machi, 752. Jina la baba yake lilikuwa Polichronios. Alimfuata Papa Gregori III. Baadaye alitanganzwa kuwa mtakatifu.
[hariri] Viungo vya nje
Kuhusu Papa Zakarya katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Zakarya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |