Papa Viktor I
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Viktor I alikuwa papa kuanzia takriban 189 hadi kifo chake takriban 199. Alimfuata Papa Eleutero.
[hariri] Viungo vya nje
Kuhusu Papa Viktor I katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Viktor I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
