Papa Urban VI
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Urban VI (takriban 1318 – 15 Oktoba, 1389) alikuwa papa kuanzia 8 Aprili, 1378 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Bartolomeo Prignano. Alimfuata Papa Gregori XI.
[hariri] Viungo vya nje
Papa Urban VI katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Urban VI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |