Papa Urban V
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Urban V (takriban 1310 – 19 Desemba, 1370) alikuwa papa kuanzia 28 Septemba, 1362 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Guillaume Grimoard. Alimfuata Papa Innocent VI.
[hariri] Viungo vya nje
Papa Urban V katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Urban V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
