Papa Martin V

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Papa Martin V

Papa Martin V (takriban 136820 Februari 1431) alikuwa papa kuanzia 11 Novemba 1417 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Odo Colonna. Alimfuata Papa Gregori XII akafuatwa na Papa Eugenio IV.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Papa Martin V katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Martin V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.