Papa Innocent V

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Papa Innocent V

Papa Innocent V (takriban 122522 Juni 1276) alikuwa papa kuanzia 21 Januari 1276 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pierre de Tarentaise.

Alikuwa mtawa wa shirika la Wahubiri.

Alimfuata Papa Gregori X akafuatwa na Papa Adrian V.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Kuhusu Papa Innocent V katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.