Papa Honorius IV
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Honorius IV (takriban 1210 – 3 Aprili 1287) alikuwa papa kuanzia 2 Aprili 1285 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giacomo Savelli. Alimfuata Papa Martin IV akafuatwa na Papa Nikolasi IV.
Viungo vya nje[hariri]
Kuhusu Papa Honorius IV katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Honorius IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |