Papa Gelasio II
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Gelasio II alikuwa papa kuanzia 24 Januari 1118 hadi kifo chake tarehe 29 Januari 1119. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Caetani au Coniulo.
Alikuwa mmonaki wa Wabenedikto wa Monte Cassino (Italia).
Alimfuata Papa Paskali II akafuatwa na Papa Callixtus II.
Marejeo [hariri]
- Barraclough, Geoffrey (1964). The Medieval Papacy. Thames and Hudson. ISBN 0-500-33011-5.
- Duffy, Eamon (1997). Saints and Sinners. A History of the Popes. Yale University Press. ISBN 0-300-07332-1.
- Rudolf Hüls (1977). Kardinäle, Klerus und Kirchen Roms: 1049–1130. Bibliothek des Deutschen Historischen Instituts in Rom. ISBN 978-3-484-80071-7.
Viungo vya nje [hariri]
Papa Gelasio II katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Gelasio II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |