Papa Boniface IX

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Boniface IX

Papa Boniface IX (13561 Oktoba, 1404) alikuwa papa kuanzia 2 Novemba, 1389 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Piero Tomacelli. Alimfuata Papa Urban VI.

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Boniface IX kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.