Papa Boniface III
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Boniface III alikuwa papa kuanzia 19 Februari, 607 hadi kifo chake tarehe 12 Novemba, 607. Alimfuata Papa Sabinian.
[hariri] Viungo vya nje
Kuhusu Papa Boniface III katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Boniface III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |