Papa Agatho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Papa Agatoni)
Rukia: urambazaji, tafuta
Papa Agatho

Papa Agatho alikuwa papa kuanzia 27 Juni 678 hadi kifo chake tarehe 10 Januari 681.

Inasemekana kwamba alikuwa na umri wa zaidi ya miaka mia moja alipochaguliwa kuwa papa. Alitokea Sisilia.

Alimfuata Papa Donus akafuatwa na Papa Leo II.

Anaheshimiwa kama mtakatifu. Kanisa Katoliki linaadhimisha sikukuu yake tarehe 10 Januari, lakini Waorthodoksi tarehe 20 Februari.

Viungo vya nje [hariri]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Agatho kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.