Papa Adrian V

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Papa Adrian V

Papa Adrian V (takriban 120518 Agosti 1276) alikuwa papa kuanzia 12 Julai 1276 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Ottobuono de' Fieschi.

Alimfuata Papa Innocent V akafuatwa na Papa Yohane XXI.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Kuhusu Papa Adrian V katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Adrian V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.