Paladi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Paladi (Paladium)
Jina la Elementi Paladi (Paladium)
Alama Pd
Namba atomia 46
Uzani atomia 106,42 u
Valensi 2, 8, 18, 18, 0
Ugumu (Mohs) {{{ugumu}}}
Kiwango cha kuyeyuka 1828,05 K (1554,90 °C)
Kiwango cha kuchemka 3236 K (2963 °C)
Paladi

Paladi ni dutu sahili ya metali na elementi. Namba atomia yake ni 46 katika mfumo radidia, uzani atomia ni 106.42. Katika mazingira ya kawaida ni metali laini yenye rangi fedha-nyeupe inayohesabiwa kati ya metali za mpito. Alama yake ni Pd. Huhesabiwa kati ya elementi ya kundi la 10 (kundi la Platini).

Tabia[hariri | hariri chanzo]

Palladi ni metali na elementi nyepesi kati ya elementi ya kundi la Platini. Kati ya elementi za kundi hilo lina kiwango cha kuyeyuka cha chini. Humenyuka haraka lakini haioksidishi bado kwenye halijoto ya wastani. Huhesabiwa kati ya metali adimu.

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paladi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.