Paka-mchanga
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Paka-mchanga | ||||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Paka-mchanga (Felis margarita)
|
||||||||||||||||||
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||
| Ngazi za chini | ||||||||||||||||||
|
Nususpishi 6: |
Paka-mchanga (Felis margarita) ni mnyama mbua wa nusufamilia Felinae katika familia Felidae. Spishi hii inatokea majangwa ya Afrika ya Kaskazini, Uarabuni, Uajemi na Pakistani[1].
Yaliyomo |
Nususpishi [hariri]
- Felis margarita margarita, Afrika ya Kaskazini, kutoka Aljeria mpaka Uarabuni
- Felis margarita airensis, Nijeri
- Felis margarita harrisoni, Bara Arabu
- Felis margarita meinertzhageni, Sahara
- Felis margarita thinobia, Bahari ya Kaspi (Uajemi, Turkmenistani)
- Felis margarita scheffeli, Pakistani
Pengine F. m. thinobia inakadirika kama spishi tofauti.
Picha [hariri]
References [hariri]
- ↑ Wozencraft, W. Christopher (2005). "Order Carnivora (pp. 532-628)". In Wilson, Don E., and Reeder, DeeAnn M., eds. Mammal Species of the World: A Taxonomic and Geographic Reference (3rd ed.). Baltimore: Johns Hopkins University Press, 2 vols. (2142 pp.). pp. 536. ISBN 978-0-8018-8221-0. OCLC 62265494
Viungo vya nje [hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Wikispecies has information related to: Felis margarita |
| Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Paka-mchanga kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |