Mji mkuu wa Albania ni Tirana na pia ndiyo mji mkubwa vilevile nchini humu. Hapa ndipo mahala pa kitovu cha uchumi wa nchi Albania. Mji mkubwa wa pili na ndiyo mji wenye bandari kubwa wa Albania ni Durrës.
Hii ni orodha ya vijiji, miji na miji mikubwa kabisa ya Albania, kama jinsi ilirejewa kutoka kwenye Taasisi ya Kutoa Takwimu za Wakazi ya Albania (Insituti i Statistikës) mjini Tirana (2008):
Miji Mikubwa [hariri]
| Ukubwa |
Mji |
Idadi ya Wakazi wa Mjini |
Idadi ya Wakazi Kikanda/Kiwilaya |
| 1 |
Tirana |
717,209 |
898,000 |
| 2 |
Durrës |
209,600 |
365,000 |
| 3 |
Vlorë |
124,700 |
263,000 |
| 4 |
Elbasan |
100,800 |
359,000 |
| 5 |
Shkodër |
83,600 |
228,000 |
| 6 |
Korçë |
75,100 |
202,000 |
| 7 |
Fier |
56,300 |
383,000 |
| 8 |
Gjirokastër |
48,800 |
175,000 |
| 9 |
Berat |
44,200 |
163,000 |
| 10 |
Lushnjë |
37,900 |
100,000 |
| 11 |
Sarandë |
33,400 |
80,200 |
Miji Midogo na Vijiji Vyake [hariri]
- Pogradec: 23,700
- Laç: 23,400
- Patos: 21,000
- Krujë: 19,400
- Kuçovë: 18,000
- Kukës: 16,600
- Lezhë: 16,600
- Peshkopi: 14,100
- Burrel: 13,900
- Cërrik: 13,200
- Çorovodë: 13,200
- Shijak: 12,800
- Librazhd: 11,500
- Tepelenë: 11,300
- Gramsh: 10,400
- Poliçan: 10,200
- Bulqizë: 10,000
- Përmet: 9,800
- Fushë-Krujë: 9,600
- Kamëz: 9,300
- Rrëshen: 9,200
- Ballsh: 9,100
- Mamurras: 7,600
- Bajram Curri: 7,500
- Ersekë: 7,500
- Peqin: 7,200
- Divjakë: 7,069
- Selenicë: 6,900
- Himarë: 3,122
- Vore
Orodha ya Miji ya Albania: Kigezo:Miji ya Albania
Tazama pia [hariri]
Viungo vya Nje [hariri]
|
Orodha ya miji ya Ulaya
|
|
| Nchi huru |
|
|
| Nchi zisizokubaliwa na umma wa kimataifa |
|
|
| Maeneo ya Ulaya ya kujitawala chini ya nchi nyingine |
|
|
|
|
|