Orodha ya migogoro barani Afrika
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Orodha ya migogoro katika Afrika (imepangwa kwa nchi) ambayo si kamilifu, ikiwa ni pamoja na;
- Vita kati ya mataifa ya Afrika
- Vita vya wenyewe kwa wenyewe ndani ya mataifa ya Afrika
- Vita vya Ukoloni/ migogoro katika Afrika
- Vita ya Uhuru katika mataifa ya Afrika
- Migogoro ya Kujitenga / Mafarakano katika Afrika
- Matokeo makuu ya vurugu (maandamano, mauaji ya kinyama, nk) katika mataifa ya Afrika
[hariri] Algeria
- Vita vya Algeria
- Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Algeria
- Kampeni ya Afrika Kaskazini (Vita vya Pili vya Dunia)
[hariri] Angola
[hariri] Benin
[hariri] Burkina Faso
[hariri] Burundi
[hariri] Cameroon
- Kampeni ya Afrika Magharibi (Vita vya Kwanza vya Dunia)
- Kampeni ya Afrika Magharibi (Vita vya Pili vya Dunia)
[hariri] Chad
- Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Chad :
- Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Chad vya 1965-1993 (vilipelekea Libya kuingilia)
- 2005 - Vita vya Pili vya wenyewe kwa wenyewe vya Chad (pia vinahusisha Sudan.
[hariri] Comoros
[hariri] Kongo-Brazzaville (Jamhuri ya Kongo)
[hariri] Kongo-Kinshasa (Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo)
[hariri] Côte d'Ivoire
[hariri] Djibouti
[hariri] Misri
- Vita vya Uarabuni na Israel (1948)
- Vita vya Libya na Misri
- Vita vya Kimahdi
- Kampeni ya Afrika Kaskazini (Vita vya Pili vya Dunia)
- Vita vya Siku Sita
- Mzozo wa Suez
- Vita vya Yom Kippur
[hariri] Eritrea
- Vita vya Kwanza vya Italo-Ethiopia
- Vita vya Pili vya Italo-Abyssinia
- Kampeni ya Afrika Mashariki (Vita vya Pili vya Dunia)
- Vita vya Uhuru vya Eritrea
- Vita vya Eritrea na Ethiopia
[hariri] Uhabeshi/ Ethiopia
- Kampeni ya Afrika Mashariki (Vita vya Pili vya Dunia)
- Vita vya Uhuru vya Eritrea
- Vita vya Ethiopia na Adal
- Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Ethiopia
- Vita vya Eritrea na Ethiopia
- Msafara kuelekea Abyssinia wa 1868
- Vita vya Kwanza vya Italo-Ethiopia
- Vita vya Ogaden
- Vita vya Pili vya Italo-Abyssinian
[hariri] Gabon
[hariri] Gambia
Vita vya Gambia Vita vya Gambia Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Gambia Vita vya Pili vya wenyewe kwa wenyewe vya Gambia
[hariri] Ghana
[hariri] Guinea-Bissau
[hariri] Kenya
- Kampeni ya Afrika Mashariki (Vita vya Kwanza vya Dunia)
- Kampeni ya Afrika Mashariki (Vita vya Pili vya Dunia)
- Uasi wa Mau mau (1952-1960)
- Vita vya Shifta (1963-1967)
- Mauaji Katika Kijiji cha Turbi (2005)
- Mgogoro wa Kenya wa 2007-2008
[hariri] Lesotho
[hariri] Liberia
- Vita vya kwanza vya wennyewe kwa wenyewe vya Liberia
- Vita vya pili vya wennyewe kwa wenyewe vya Liberia
[hariri] Libya
- Mzozo wa Chad na Libya
- Vita vya Waitaliano na Waturuki
- Vita vya Libya na Misri
- Kampeni ya Afrika Kaskazini (Vita vya Pili vya Dunia)
[hariri] Madagaska
[hariri] Mali
[hariri] Malawi
[hariri] Mauritania
[hariri] Mauritius
[hariri] Morocco
- Kampeni ya Afrika Kaskazini (Vita vya Kwanza vya Dunia)
- Vita vya Wahispania na Wamorocco (1859)
- Vita vya Rif
- Vita vya Mchanga
- Mzozo wa Sahara ya Magharibi
[hariri] Msumbiji
- Kampeni ya Afrika Mashariki (Vita vya Kwanza vya Dunia)
- Vita vya Uhuru vya Msumbiji
- Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Msumbiji
[hariri] Namibia
- Mauaji ya Halaiki ya Herero
- Vita vya Uhuru vya Namibia
- Kampeni ya Afrika ya Kusini-Magharibi (Vita vya Kwanza vya Dunia)
[hariri] Niger
[hariri] Nigeria
[hariri] Rwanda
[hariri] São Tomé na Príncipe
[hariri] Senegal
- Mzozo wa Casamance
- Vita vya Mpakani vya Mauritania na Senegal
- Kampeni ya Afrika Magharibi (Vita vya Pili vya Dunia )
[hariri] Sierra Leone
[hariri] Somalia
- Kampeni ya Afrika Mashariki (Vita vya Pili vya Dunia)
- Vita vya Ogaden
- Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Somalia
- Vita nchini Somalia 2006-hadi leo
[hariri] Afrika Kusini
- Vita vya Anglo-Zulu
- Vita vya mpakani vya Cape
- Mapigano ya Blood River
- Mapigano ya Blaauwberg
- Vita vya kwanza vya Boer
- Vita vya pili vya Boer
- Mauaji ya Sharpeville
- Mapinduzi ya Soweto
- Vita vya mpakani vya Afrika Kusini
- Afrika ya Kusini-Magharibi Kampeni (Vita vya Kwanza vya Dunia)
- Mauaji ya Weenen
- Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Zulu
[hariri] Sudan
- Kampeni ya Afrika Mashariki (Vita vya Pili vya Dunia)
- Vita ya Kimahdi
- Vita vya kwanza vya wenyewe kwa wenyewe vya Sudan
- Vita vya pili vya wenyewe kwa wenyewe vya Sudan
- Mzozo wa Darfur
- Mgogoro wa Chad na Sudan
[hariri] Swaziland
[hariri] Tanzania
- Vita vya Abushiri
- Vita vya Anglo-Zanzibar
- Kampeni ya Afrika Mashariki (Vita vya Kwanza vya Dunia)
- Uasi wa Maji Maji
- Vita vya Uganda na Tanzania
- Mapinduzi ya Zanzibar (1964)
[hariri] Togo
[hariri] Tunisia
[hariri] Uganda
Further information: Military history of Uganda
- Mapinduzi ya Uganda ya 1971
- Operesheni ya Entebbe (1976)
- Vita vya Uganda na Tanzania (1978 - 1979)
- Kuanguka kwa Kampala (1979)
- Uganda National Rescue Front (1980-1985)
- Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Uganda (1982 - 1986)
- Uganda People's Democratic Army (1986-1988)
- Harakati ya Roho Mtakatifu (1986-1987)
- Lord's Resistance Army (1987 - hadi leo)
- Allied Democratic Forces (1996 -?)
- Uganda National Rescue Front ya II (1996-2002)
[hariri] Sahara Magharibi
[hariri] Zambia
- Kampeni ya Afrika Mashariki (Vita vya Kwanza vya Dunia)
- Kampeni ya Afrika Mashariki (Vita vya Pili vya Dunia)
[hariri] Zimbabwe
- Vita vya kwanza vya Matabele
- Chimurenga - muhtasari wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Rhodesia / Zimbabwe
- Vita vya pili vya Matabele ama Chimurenga ya Kwanza
- Chimurenga ya Pili / Vita vya Vichakani vya Rhodesia
[hariri] Orodha ya vita kulingana na wakati
[hariri] Karne ya 21
- 2001 -vita vya sasa dhidi ya ugaidi
- 1997 - Ugaidi wa sasa wa Kiislamu nchini Misri
- 2002 - Ukereketwa wa Kiislamu katika Maghreb
- 2002 - Operesheni ya sasa ya Uhuru wa Kudumu - Pembe ya Afrika
- 2006 Kuibuka kwa Muungano wa Mahakama za Kiislamu
- 2006 - 2009 Vita vya Ethiopia nchini Somalia
- 2007 - Operesheni ya leo ya Uhuru wa kudumu- Trans Sahara
- 2009 - vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Kiislamu vya leo nchini Somalia
- 2009 - ukereketwa wa leo wa Taliban nchini Nigeria
- 2001 - 2003 vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Jamhuri ya Afrika ya Kati
- 2002 - 2003 vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Ivory Coast
- 2003 - Vita vya sasa katika Darfur
- 2004 2004 mapigano ya Kifaransa na Ivory Coast
- 2004 - mgogoro wa leo katika Niger Delta
- 2004 - Vita vya vichakani vya sasa vya Jamhuri ya Afrika ya Kati
- 2004 - mzozo wa sasa wa Kivu
- 2005 - Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya sasa nchini Chad
- 2005 - 2008 Ukereketwa wa Mlima Elgon
- 2007 - Uasi wa Pili wa sasa wa Tuareg
- Mzozo wa Kenya wa 2007-2008
- 2008 uvamizi wa Anjouan
- 2008 mzozo wa mpakani wa Djibouti na Eritrea
- 2009 Mashambulizi ya Israel ya mabomu nchini ya Sudan
[hariri] Angalia Pia
- Historia ya kijeshi ya Afrika
- Orodha ya migogoro katika Maghreb (kaskazini mashariki mwa Afrika)
- Migogoro katika UPembe wa Afrika
|
||||||||||||||||||||||||||||||||