Orodha ya masoko ya hisa barani Afrika
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hii ni Orodha ya masoko ya ubadilishanaji hisa barani Afrika.
Wanachama wa Shirika la Masoko ya Hisa ya Afrika (ASEA) wameonyeshwa kwa alama ya asteriski *.
Afrika ina angalau Soko moja la hisa la kanda, lile la Bourse Régionale des Valeurs Mobilières, au BRVM, lililoko mjini Abidjan, Ivory Coast. BRVM inatumiwa nchi za Benin, Burkina Faso, Guinea-Bissau, Ivory Coast, Mali, Niger, Senegal na Togo.
Soko la hisa la zamani zaidi katika bara ni Soko la Hisa la Casablanca la Moroko lililoanzishwa mwaka wa 1929, na pia ndilo la pili kwa ukubwa Afrika baada ya Soko la Hisa la Johannesburg.
Orodha[hariri]
Marejeo[hariri]
Tazama Pia[hariri]
- Benki kuu na Sarafu barani Afrika
- Uchumi wa Afrika
- Orodha ya masoko ya hisa
- Masoko ya hisa ya nchi za uchumi mdogo
- Orodha ya masoko ya hisa ya Marekani
- Orodha ya masoko ya hisa ya Ulaya
- Orodha ya masoko ya hisa ya Mashariki ya Kati
- Orodha ya masoko ya hisa ya Asia Kusini
- Ubadilishanaji hisa
|
||||||||||||||||||||||||||||||||