Hii ni orodha ya makabila ya Kenya inavyotokana na orodha ya Ethnologue ya lugha za Kenya.
Hii ni orodha ya makabila ya watu ambao wamekuwa wanaishi tangu zamani katika eneo ambalo sasa linaitwa Kenya, pamoja na makabila yaliyogawiwa na mipaka baina ya Kenya na nchi za jirani. Orodha hii haizingatii makabila yanayoishi katika Kenya kama wakimbizi kutoka vita katika nchi za jirani. Ukurasa huu hauorodheshi vikundi vya wahamiaji kutoka nchi za kigeni, kama wahamiaji au wazao wao kutoka Arabia au Uhindi.
- Waboni (pia huitwa Waaweer)
- Waborana
- Waburji
- Wachonyi
- Wachuka
- Wadaasanach
- Wadahalo
- Wadigo
- Waduruma
- Waembu
- Waendo
- Wagikuyu
- Wagiryama
- Wagusii
- Wakalenjin (wakijumisha Wapokot, Wamarakwet, Waelgeyo, Wanandi, Wasabaot, Wakipsigis, na Watugen)
- Wakamba
- Wakuria
- Waluo
- Waluhya (au Waluyia, wakijumuisha Wabukusu, Wanyala, Watachoni, Wakabras, Watsotso,Waidakho, Waisukha, Wamaragoli, Wawanga, Watiriki, Wanyore, Wakhayo, Wasamia, Wakisa, Wamarama )
- Wamaasai
- Wamalakote (pia huitwa Wailwana)
- Wameru
- Wamwimbi
- Wanyala
- Wanyore
- Waokiek
- Waoromo
- Wapokomo wa Chini
- Wapokomo wa Juu
- Warendille
- Wasagalla
- Wasamburu
- Wasanye
- Wasomali
- Wasuba
- Waswahili
- Wataita
- Wataveta
- Wateso
- Watharaka
- Waturkana
- Wayaaku
|
Orodha ya makabila ya Afrika
|
|
| Nchi huru |
|
|
| Nchi zisizokubaliwa na umma wa kimataifa |
|
|
| Maeneo ya Afrika ya kujitawala chini ya nchi nyingine |
|
|
|
|
|