Orodha ya Makabila nchini Kenya
|
|
Unganisha! Imependekzwa makala hii iunganishwe na Orodha ya makabila ya Kenya. Ili kupata sababu angalia ukurasa wa majadiliano. |
Kuna karibu makabila arubaini ya kienyeji nchini Kenya, yakiwemo:
Makabila Makuu[hariri]
- Kikuyu (Agĩkũyũ) 20.78 %
- Luhya 14.38 %
- Luo 12.38 %
- Kalenjin 15.46 %
- Kamba 11.42 %
- Kisii 6.15 %
- Ameru (Meru) 5.07 %
- Maasai 1.76 %
- Turkana 1.52 %
- Embu 1.20 %
- Taita 0.95 %
- Swahili 0.60 %
- Samburu 0.50 %
Asilimia inaonyesha mgao wao ukifananishwa na idadi yote ya Kenya.
Makabila madogo[hariri]
- Aweer
- Bajuni
- Bukusu
- Dahalo
- Isukha
- Kore
- Kuria
- Maragoli
- Marama
- Miji Kenda
- Ogiek
- Orma
- Pokomo
- Rendille
- Sengwer
- Suba
- Tachoni
- Taveta
- Watha
- Yiaku
Makabila mengine yasiyo ya Kenya lakini yawekaa nchini Kenya kwa miaka mingi ni:
- Oromo
- Wasomali
- Gujarati, Baluch, Punjabi na Goan kutoka India,
- Waingereza.
- Hadhrami na Waarabu wa Oman
- Waitaliano
Marejeo[hariri]
|
||||||||||||||
| Makala about ethnicity or ethnology bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |