Orchestra Maquis Original

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Orchestra Maquis Original ni bendi ya muziki wa dansi kutoka Lubumbashi (Zaire) na kukaa Dar es Salaam. Iliyoanzishwa mwaka 1970. Waligundua mitindo kamanyola bila jasho, sanifu, ogelea piga mbizi na zembwela.

Wanachama kadhaa [hariri]

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Orchestra Maquis Original kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.