Omar Shabani Kwaangw'
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Omar Shabani Kwaangw' (amezaliwa tar. 2 Julai 1954) ni mbunge wa jimbo la Babati Mashariki katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia[hariri]
Marejeo[hariri]
- ↑ Mengi kuhusu Omar Shabani Kwaangw' (17 Julai 2006). Rudishwa juu ya 11 Novemba 2011.
| Makala hiyo kuhusu wanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |