Okonkwo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Okonkwo ni mhusika mkuu katika riwaya Mambo Huangamia iliyoandikwa na Chinua Achebe na kutolewa mwaka wa 1958.

Makala hii kuhusu mambo ya fasihi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Okonkwo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.