Ogimachi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ogimachi (18 Juni, 1517 – 6 Februari, 1593) alikuwa mfalme mkuu wa 106 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Michihito. Tarehe 27 Oktoba, 1557 alimfuata baba yake, Go-Nara, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 17 Desemba, 1586. Aliyemfuata ni mjukuu wake, Go-Yozei.
| Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ogimachi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |