Nikola Tavelic

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kioo cha rangi chenye picha ya Mt. Nikola Tavelic huko Rijeka.
Ua wa monasteri ya zamani ya Mlima Sion huko Jerusalem, alipoishi Mt. Nikola.

Nikola Tavelić (Šibenik, 1340 hivi - Yerusalemu, leo kati ya Israeli na Palestina, 14 Novemba 1391) alikuwa mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo, padri na mmisionari katika Nchi takatifu ya Yesu.

Alitangazwa na Papa Leo XIII kuwa mwenye heri mwaka 1889, halafu na Papa Paulo VI kuwa mtakatifu tarehe 21 Juni 1970. Ni wa kwanza kutoka Croatia.

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mfiadini pamoja na Stefano wa Cuneo, Deodato wa Ruticinium na Petro wa Narbone.

Sikukuu yao ni tarehe waliyouawa na Waislamu waliowahubiria Injili[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • D. Mandić: Documenta martyrii beati Tavelic, Dissertation Gregorianae, Roma 1958.
  • A. Crnica, Historico-iuridica dilucidatio vitae, martyrii et gloriae beati N. Tavelic, Dissertation Gregorianae, Roma 1958,
  • Odilo Lechner, Ulrich Schütz: Mit den Heiligen durch das Jahr. Herder, Freiburg/B. 1988, ISBN 3-451-20485-1, S. 228.
  • Vera Schauber, Hanns Michael Schindler: Heilige und Namenspatrone im Jahreslauf. Pattloch, Augsburg 2001, ISBN 3-629-01642-1, S. 587.
  • Josef Gelmi u.a.: Lexikon der Namen und Heiligen. Edition Nikol, Hamburg 2002, ISBN 3-933203-63-5, S. 609.
  • Ordo Fratrum Minorum: Franziskanisches Proprium. Die Feier des Stundengebetes. Herder, Freiburg/B. 1987, S. 372–375.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.