Niki Sanders

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Niki Sanders
muhusika wa Heroes
Niki Sanders.jpg
Mwonekano wa kwanza "Genesis"
Mwonekano wa mwisho "Powerless" (yu-hai); "One of Us, One of Them" (-mekufa)
Sababu Ameuawa kwenye mlipuko wa jengo
Imechezwa na Ali Larter
Maelezo
Majina mengine Jessica
Gina
Ndoa D. L. Hawkins (mume)
Watoto Micah Sanders
Uwezo Nguvu za ziada[1]
Jina kamili Nicole Sanders

Nicole "Niki" Sanders ni jina la kutaja uhusika uliochezwa na mwigizaji Ali Larter kwenye mfululizo wa televisheni wa Heroes. Niki ni mke wa D. L. Hawkins (Leonard Roberts) na ni mama wa Micah Sanders (Noah Gray-Cabey). Niki, anasumbuliwa na matatizo ya uwili-uwili, anaonekana kuwa na nguvu zaidi ya mwanadamu wa kawaida, kwa kuwa na uwezo wa kujigawa kuwa watu wawili. Awali, alikuwa na uwezo kutumia nguvu hizi wakati alter ego wake ("Jessica") akishika hatamu.

Tim Kring, mtunzi wa kipindi, alieleza ya kwamba awali alimuumba Niki akiwa na nguvu ya kuwa sehemu mbili kwa wakati mmoja, ambayo imetokana na maisha yake akiwa mama mlezi pekee.[2] Niki pia awali alitungwa awe kama msichana wa onyesho. Hata hivyo, Ali Larter hakuwa na umbo la kuweza kucheza uhusika wa msichana wa onyesho, hivyo basi uhusika ukabadilishwa na akawa kahaba wa mtandaoni.[3] Kwa mujibu wa watunzi Joe Pokaski na Aron Coleite, Niki alitolewa kwenye mfululizo na badala yake kawekwa Tracy Strauss hivyo Larter anaweza kucheza nyusika tofauti-tofauti, pindi walipogundua ya kwamba hawawezi kuendelea zaidi na uhusika wa Niki. Badiliko hilo lilipelekea kuweza kujua hadithi ya chimbuko lao, ambapo muhusika anagundua kwamba ana ngungu.[4]

[hariri] Marejeo

  1. Jensen, Jeff (2006-11-18). Heroes: On the set of the hit that's saving the TV season 6. EW.com. Rudishwa juu ya 2009-07-13.
  2. Standler (2007-02-07). Heroes Execs discuss show’s future, LOST, more. OgMog. Rudishwa juu ya 2007-03-03.
  3. Caylo, Mel (2007-01-20). TV Q&A: Heroes-Jeff Loeb 3. Wizard Universe. Rudishwa juu ya 2007-01-26.
  4. Pokaski, Joe; Coliete, Aron (October 6, 2008). Behind the Eclipse: Week 2. Comic Book Resources. Rudishwa juu ya 2008-11-04.

[hariri] Viungo vya Nje

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine