Nicole Scherzinger
| Nicole Scherzinger | |
|---|---|
Nicole mnamo 2 Mei 2009
|
|
| Maelezo ya awali | |
| Jina la kuzaliwa | Nicole Elikolani Prescovia Valiente |
| Pia anajulikana kama | Nicole Kea |
| Amezaliwa | 29 Juni 1978 Honolulu, Hawaii, Marekani |
| Asili yake | R&B, hip hop, pop |
| Kazi yake | Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mnenguaji, mwigizaji, mwanamitindo |
| Miaka ya kazi | 2001–hadi leo |
| Studio | Polydor, A&M, Interscope |
| Ame/Wameshirikiana na | Pussycat Dolls, Days of the New, Timbaland, Sean Combs, Keri Hilson, T.I., Will.I.Am, Sean Garrett, Will Smith, Nelly, Rihanna |
| Tovuti | www.hernameisnicole.com |
Nicole Prescovia Elikolani Valiente Scherzinger[1] (pia anajulikana kama Nicole Kea) (amezaliwa tar. 29 Juni 1978) ni mwimbaji wa R&B, mtunzi wa nyimbo, mnenguaji, mwanamitindo, na mwigizaji kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kuwa kama mwimbaji kiongozi wa kundi la muziki la The Pussycat Dolls. Amechekua jina la Scherzinger kwa sababu alilielewa na baba wa kufikia aliyekuwa Mjerumani.
Yaliyomo |
Wasifu [hariri]
Maisha ya awali [hariri]
Scherzinger alizaliwa mjini Honolulu, Hawaii na baba Mfilipino na mama Mhawaii/Mrusi.[2] Mama yake aliitwa Rosemary, na wakati ana mzaa Scherzinger alikuwa na umri wa miaka kumi na minane na wakawa wanaishi mjini inner city, lakini baadaye familia ikatengana wakati Scherzinger bado mdogo.
Baadaye familia ikaamia rasmi mjini Louisville, Kentucky wakati huo alikuwa na umri wa miaka sita, akiwa pamoja na ndugu yake wa kike aitwaye Ke'ala aliyezaliwa na baba Mjerumani Mwamerika Bw. Gary Scherzinger.[3][4]
Maisha binafsi [hariri]
Kwa sasa Scherzinger anatembea na Lewis Hamilton, kukiwa na fununu za kusema kuwa wawili hao wataoana punde.
Muziki [hariri]
- Tazama pia Eden's Crush na Albamu na Nyimbo za Pussycat Dolls kwa taarifa ya albamu na kazi alizofanya akiwa pamoja na hilo kundi.
Albamu [hariri]
- 2009: Her Name Is Nicole
Single [hariri]
- 2007: "Whatever U Like" akimshirikisha T.I.
- 2007: "Baby Love" akimshirikisha will.i.am
- 2007: "Supervillain" akimshirikisha Mad Scientist (Digital Release Only)
- 2007: "Puakenikeni" akishirikiana na Brick na Lace (Toleo la Mtandaoni Tu)
- 2008: "Rio" (Caress Brazilian Mix) (Toleo la Mtandaoni Tu)
Single alizoshirikishwa [hariri]
- 2006: "Lie About Us" (Avant akimshirikisha Nicole Scherzinger)
- 2006: "Come to Me" (Diddy akimshirikisha Nicole Scherzinger)
- 2007: "You Are My Miracle" (Vittorio akimshirikisha Nicole Scherzinger)
- 2008: "Scream" (Timbaland akimshirikisha Keri Hilson na Nicole Scherzinger)
Marejeo [hariri]
- ↑ Nicole Scherzinger.
- ↑ Nicole Scherzinger - Askmen.com.
- ↑ http://www.sindhtoday.net/world/16640.htm
- ↑ Pussycat Dolls Nicole She says she's 'only a 5 out of 10 for looks'. The Sun. Rudishwa juu ya 2008-08-30.
Viungo vya nje [hariri]
- Official website
- Kigezo:IMDb
- BMI.com repertoire search
- Errico, Mike. "25 Reasons to Love '07", Blender Magazine Online, Januari/Februari 2007. Retrieved on 2006-02-09.
- nicole-scherzinger-2007-mtv-video-music-awards
|
|||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||