Newala
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Newala (kijani) katika mkoa wa Mtwara.
Wilaya ya Newala ni wilaya moja ya Mkoa wa Mtwara. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 183,930 [1].
Marejeo [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mtwara bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Newala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Kata za Wilaya ya Newala - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Luchingu | Makote | Nanguruwe | Mkunya | Mcholi I | Namiyonga | Mnekachi | Chitekete | Mnyambe | Chilangala | Mkoma II | Kitangari | Malatu | Mchemo | Mtopwa | Chiwonga | Maputi | Makukwe | Mkwedu | Mcholi II |
||