Kaledonia Mpya
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka New Caledonia)
|
|||||
| Wito la taifa: -- | |||||
| Wimbo wa taifa: La Marseillaise | |||||
![]() |
|||||
| Mji mkuu | Nouméa |
||||
| Mji mkubwa nchini | Nouméa | ||||
| Lugha rasmi | Kifaransa | ||||
| Serikali | (Eneo la ng'ambo la Ufaransa) Nicolas Sarkozy Yves Dassonville Harold Martin |
||||
| Eneo la ng'ambo la Ufaransa {{{established_events}}} |
{{{established_dates}}} | ||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
18,575 km² (ya 154) -- |
||||
| Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - Septemba 2004 sensa - Msongamano wa watu |
237,000 (ya 182) 230,789 13/km² (ya 200) |
||||
| Fedha | CFP franc (XPF) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+11) (UTC) |
||||
| Intaneti TLD | .nc | ||||
| Kodi ya simu | +687
- |
||||
Kaledonia Mpya (Kifaransa: Nouvelle-Calédonie - nuvel kaledoni) ni eneo la ng'ambo la Ufaransa katika bahari ya Pasifiki. Kisiwa kikubwa cha Grande Terre pamoja na visiwa vingine ni sehemu ya Melanesia. Jumla la eneo la visiwa vyote ni 18,575 km² na kuna wakazi 230,789. Mji mkuu ni Nouméa. Hadi sasa pesa ni Franc ya pasifiki lakini kuna majidiliano kutumia Euro jinsi ilivyo Ufaransa bara.
Watu wa Kaledonia mpya watapiga kura mwaka 2014 kama watapendelea kujitegemea kama nchi huru au kuendelea kama sehemu ya Ufaransa.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kaledonia Mpya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Nchi_na maeneo ya Australia na Pasifiki |
| Australia | Fiji | Guam | Hawaii | Kaledonia Mpya | Kiribati | Kisiwa cha Pasaka | Mikronesia | Nauru | New Zealand | Niue | Pitcairn | Polynesia ya Kifaransa | Palau | Papua New Guinea | Samoa | Samoa ya Marekani | Visiwa vya Cook | Visiwa vya Mariana ya Kaskazini | Visiwa vya Marshall | Visiwa vya Solomon | Tonga | Tuvalu | Vanuatu | Wallis na Futuna |
