Neumünster
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Neumünster | |||
| Kitovu cha mji wa Neumünster | |||
|
|||
| Mahali pa mji wa Neumünster katika Ujerumani | |||
| Anwani ya kijiografia: 54°04′N 9°59′E / 54.067°N 9.983°E | |||
| Nchi | Ujerumani | ||
|---|---|---|---|
| Jimbo | Schleswig-Holstein | ||
| Idadi ya wakazi | |||
| - Mji | 77,100 | ||
| Tovuti: www.neumuenster.de | |||
Neumünster ni mji wa Schleswig-Holstein nchini Ujerumani. Idadi ya wakazi wake ni takriban 77,100. Mji ulianzishwa 1127.
Tazama pia[hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Neumünster kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |