Nelspruit

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jiji la Nelspruit
Skyline ya Jiji la Nelspruit
Jiji la Nelspruit is located in South Africa
Jiji la Nelspruit
Jiji la Nelspruit
Mahali pa mji wa Nelspruit katika Afrika Kusini
Coordinates: 25°28′12″S 30°58′48″E / Expression error: Unexpected < operator Expression error: Unexpected < operator / Expression error: Unexpected < operator; Expression error: Unexpected < operator
Nchi Afrika Kusini
Majimbo Mpumalanga
Idadi ya wakazi
 - Mji 110,159

Nelspruit ni mji mkuu wa jimbo la Mpumalanga katika Afrika Kusini. Iko kando la mto Crocodile (mamba) takriban 330 km upande wa mashariki wa Johannesburg na km 60 upande wa magharibi wa mpaka wa Msumbiji.

Mji mwenyewe ni mdogo una wakazi 24,000 pekee. Vitongoji vilivyojenga wakati wa siasa ya apartheid viko mbali kidogo ni KaNyamazane, Msogwaba, Mpakeni na Matsulu jumla ni wakazi 220,000.

Nelspruit ni kitovu cha huduma na biashara kwa mazingira penye kilimo kingi kuna pia viwanda vinavyoshughulika mazao kama machungwa, malimau, maembe, jozi na ndizi.

Kuna kituo cha reli pamoja na uwanja wa ndege. Kuna utalii kutokana na wageni wa hifadhi ya taifa ya Kruger iliyo karibu.

Nelspruit itakuwa mahali mmojawapo wa kombe la dunia la soka mwaka 2010.


[hariri] Viungo vya Nje