Nebukadreza II
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nebukadreza II alikuwa mfalme wa Babeli karne ya 6 KK. Alitawala Babeli kati ya 604 KK mpaka 562 KK. Aliwahi kuuvunja mji wa Yerusalemu na kuwateka Wayahudi.
Ndiye aliyejenga bustani za kupendeza katika enzi hizo zinazojulikana kama bustani za kuning'inia za Babeli, ambazo ni moja ya maajabu saba ya dunia.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nebukadreza II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |