Nchi takatifu
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nchi takatifu ni jina la heshima ya kidini linalopewa eneo maalumu huko Mashariki ya Kati kadiri ya imani ya Uyahudi, Ukristo na Uislamu.
Marejeo [hariri]
Viungo vya nje [hariri]
- American Travelers to the Holy Land in the 19th Century Shapell Manuscript Foundation
- Virtual tour of Holy Land
- Virtual Map of the Holy Land
| Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nchi takatifu kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |