Narita, Chiba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Narita | |
| Uwanja wa Ndege wa Narita | |
| Mahali pa mji wa Narita katika Japani | |
| Anwani ya kijiografia: 35°47′00″N 140°19′00″E / 35.783333°N 140.316667°E | |
| Nchi | Japani |
|---|---|
| Mkoa | Chiba |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 98,296 |
| Tovuti: http://www.city.Narita.chiba.jp/ | |
Mahali pa Narita katika mkoa wa Chiba
Narita (成田市, Narita-shi) ni mji wa Japani katika mkoa wa Chiba. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2003, mji una wakazi wapatao 100,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 19 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 131.27 km².
Tazama pia [hariri]
- Uwanja wa Ndege wa Narita (成田国際空港, Narita International Airport)
Viungo vya nje [hariri]
- (Kijapani) (Kiingereza) Tovuti
- (Kijapani) (Kiingereza) (Kikorea) (Kichina) Uwanja wa Ndege wa Narita
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Narita, Chiba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |