Nargis Dutt (Kihindi: नर्गिस, Kiurdu: نرگس; 1 Juni 1929 – 3 Mei 1981), alizaliwa na jina la Fatima Rashid alkini alifahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Nargis,[1] alikuwa mwigizaji wa filamu kutoka nchini India. Huhesabiwa kama mmoja kati ya waigizaji filamu wakali katika historia ya sinema za Kihindi. Alipata kuonekana kwa mara ya kwanza akiwa kama mtoto kwenye seti ya Talash-E-Haq mnamo 1935, lakini kazi yake ya uigizaji ilianza rasmi 1942 na Tamanna. Wakati wa kazi zake ambazo zilitamba sana kunako miaka ya 1940 na 60, Nargis amepata kuonekana katika kazi kadhaa zenye-mafanikio, vilevile kwenye kazi ambazo ziliheshimika vibaya mno, nyingi katika hizo humshirikisha mwigizaji mwenzi na mtengenzaji wa filamu Raj Kapoor. Moja kati ya nyusika maarufu alizocheza ni pamoja na Radha (-liopa kushindanishwa kwenye Academy Award)- Mother India (1957), kazi ambayo alijipatia tuzo ya kama mwigizaji bora na Filmfare Awards na Karlovy Vary International Film Festival. Mnamo 1958, Nargis ameolewa na mshiriki mwenzake wa katika filamu ya Mother India, mwigizaji Sunil Dutt, na akaachana na masuala ya soko la filamu. Alionekana mara kadhaa tu kwenye filamu za miaka ya 60.
[hariri] Filmografia
- Talashe Haq (1935)
- Tamanna (1942)
- Taqdeer (1943)
- Humayun (1945)
- Bisvi Sadi (1945)
- Nargis (1946)
- Mehandi (1947)
- Mela (1948)
- Anokha Pyar (1948)
- Anjuman (1948)
- Aag (1948)
- Roomal (1949)
- Lahore (1949)
- Darogaji (1949)
- Barsaat (1949)
- Andaz (1949)
- Pyaar (1950)
- Meena Bazaar (1950)
- Khel (1950)
- Jogan (1950 film)|Jogan (1950)
- Jan Pahchan (1950)
- Chhoti Bhabbi (1950)
- Babul (1950)
- Aadhi Raat (1950)
- Saagar (1951)
- Pyar Ki Baaten (1951)
- Hulchul (1951)
- Deedar (1951)
- Awaara (1951)
- Sheesha (1952)
- Bewafaa (1952)
- Ashiana (1952)
- Anhonee (1952)
- Amber (1952)
- Shikast (1953)
- Paapi (1953)
- Dhoon (1953)
- Aah (1953)
- Angarey (1954)
- Shree 420 (1955)
- Jagte Raho (1956)
- Chori Chori (1956)
- Pardesi (1957)
- Mother India (1957)
- Lajwanti (1958)
- Ghar Sansar (1958)
- Adalat (1958)
- Yaadein (1964)
- Raat Aur Din (1967)
- Tosa oneira stous dromous (1968)
[hariri] Soma zaidi
[hariri] Viungo vya Nje