Nanning

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jiji la Nanning
Skyline ya Jiji la Nanning
Nchi China
Jimbo Guangxi
Idadi ya wakazi
 - Mji 2,450,000
Website: www.nanning.gov.cn

Nanning (南宁) ndiyo mji mkuu katika jimbo la Guangxi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao milioni 6.48 wanaoishi katika mji huu.

ČLR-pahýl.png Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nanning kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.