Nabii Mika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Nabii Mika kadiri ya Gustave Doré.

Nabii Mika, ambaye jina lake la Kiebrania מיכה linamaanisha "Nani kama Mungu?", alifanya kazi wakati mmoja na nabii Isaya (miaka 740-700 hivi K.K.) naye vilevile alitetea haki za wanyonge (2:1-11) na kutabiri adhabu.

Lakini hasa alitabiri juu ya Masiya, kwamba atazaliwa Bethlehemu (5:1-3), tunavyosoma katika Injili kuhusu Yesu Kristo.

Anaheshimiwa kama mtakatifu, hasa tarehe 14 Agosti.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Delbert R. Hillers, Micah (Minneapolis, Fortress Press, 1984) (Hermeneia).
  • Bruce K. Waltke, A Commentary on Micah (Grand Rapids, Eerdmans, 2007).
  • Mignon Jacobs, Conceptual Coherence of the Book of Micah (Sheffield, Sheffield Academic Press, 2009).
  • Yair Hoffman, "The Wandering Lament: Micah 1:10-16," in Mordechai Cogan and Dan`el Kahn (eds), Treasures on Camels' Humps: Historical and Literary Studies from the Ancient Near East Presented to Israel Eph`al (Jerusalem, Magnes Press, 2008),

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Saint-stub-icon.jpg Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nabii Mika kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.